Naysha baada kukutana na Nash basialianza kulia sana tu maana kwakehamna kitu kilishawahi kwenda sawakwenye maisha yale Nash akawaanambembeleza anyamaze”Mimi hamna kitu kilishawahi kwendasawa kwenye maisha yangu kaka Nashmwenzio nina ujauzito na kazinimefukuzwa kazi baba yupo kitandanimgonjwa mimi nafanyaje kaka sielewinitawezaje kulipa matibabu ya babayangu nitaishije mimi”alikiwa anaongeaNaysha huku akiwa nalia maskinimaana muda huo hakujua afanye nini
BE-WITH-YOU
Leave a Reply