Press ESC to close

Karma

David alikuwa akivaa nguo baada yakuoga Ruby avyoingia chumbani “Babyusiondoke. Lala huku bana.” Rubyalisema kwa kudeka huku akikaa juu yakitanda. “Siwezi mpenzi. Keshonatakiwa kwenda kazini.” David alisemahuku akichomekea shati. “Jamani,kesho si Jumamosi. Inamaana hutakikufanya na mimi tena?” Ruby alisemaakiamka kitandani kisha kumkubatiaDavid kwa nyuma; David alimgeukia nakushika uso wake. “Unajua kabisa kuanataka. Basi tufanye hivi, kesho nikitokakazini tu, ntakuja hapa moja kwa moja.Na tufanya mambo yote unayotakatufanye. Umeskia mpenzi? Nakupenda.”David alisema kisha akachukua simu nafunguo za gari lake kitandani………..

KARMA.0682838132

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *