1. Mbona Naambiwa Tazama Tangazo Kila mda: App yetu ni bure natunaiendesha Kwa gharama kubwa mno, Hivyo ili sisi tuweze kumudu gharama hizo, Yakubidi wewe utazame matangazo, Kama haufahamu jinsi ya kuindoa, Jifunze Hapa

2. Mbona Movie, Streams au Channel kwangu hazioneshi: Kama Video kwako hazioneshi Jaribu kubadilisha mtandao au Kutumia VPN. Ikiwa vyote hivyo vimeshindikana basi server zetu zitakua chini hivyo yakubidi urudi badae kutazama

🤩Kama unashida nyingine tofauti, I comment hapo chini, itatolewa ufafanuzi ndani ya masaa 12, Pitia comment zilizokwisha Jibiwa kwani hatutojibu comment yako kama inafanana na zilizokwisha Jibiwa🤩

Comments (25)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *