“dadaaaa!! dadaaaa!!!” mtoto mdogoaitwae Livia alikimbia mbiombiokuelekea nyumbani akiwa ametokeasokoni, alipofika akaingia ndani nakumkuta dada yake yupo jikoni”kulikoni Livia?” aliulizwa”soma hapa!” alionyeshwa kikaratasiakakishika na kutazama akaonatangazo”linahusu nini Livia?””aah dada huoni?””sijui kusoma mdogo wangu”
MAYA-💃
Comments (1)
Evancesays:
November 24, 2024 at 8:40 amIt’s so beautiful